Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kutawaliwa naye. Usikubali kutawaliwa na Ibilisi, kubali kutawaliwa na Mungu. Ni jukumu letu kuanza kuishi sasa kama vile tutakavyoishi mbinguni. Shetani anataka uwe na hekima ya duniani ili akupumbaze. Lakini hofu ya Mungu ndiyo msingi wa hekima ya kweli. Ukitaka asikupumbaze, pokea Roho ya Mungu kwa kubatizwa. Ukiipokea Roho ya Mungu utajua mambo ya Mungu, ambayo dunia haiwezi kujua. . Enock Maregesi
About This Quote

"Mungu" is a Swahili word meaning "our/our people". This is used to refer to the people of Zanzibar. It also refers to the Mungu of the city, which is considered to be one's leader or are regarded as important in that city. "Hatakubali" is an adjective meaning "the one who struggles, the one who fights".

"Ufalme" means "in order to" or "for", and this is used in the sentence "Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kutawaliwa naye." ("Mungu" = Our/our people; "hatakubali" = the one who struggles, the one who fights; "kutawaliwa" = are regarded as important in that city; "Ibilisi" = are regarded as important in this city/country; "kutawaliwa na Mungu" = are regarded as important in our city/country). When this sentence is spoken it is being spoken about Zanzibar. The city's people regard themselves as important because they have fought many wars against other countries.

The leader (Mungu) of Zanzibar (the people) has fought many wars and was successful in defeating his enemies. This relates back to the idea that you should not only defeat your enemies but you should look after them and help them. You should not think that their defeat means that they do not matter and you do not need to help them.

Some Similar Quotes
  1. You've gotta dance like there's nobody watching, Love like you'll never be hurt, Sing like there's nobody listening, And live like it's heaven on earth. - William W. Purkey

  2. Do people look the same when they go to heaven, mommy?"" I don't know. I don't think so."" Then how do people recognize each other?"" I don't know, sweetie. They just feel it. You don't need your eyes to love, right? - R.J. Palacio

  3. I think Heaven will be like a first kiss. - Sarah Addison Allen

  4. Earth's crammed with heaven... But only he who sees, takes off his shoes. - Elizabeth Barrett Browning

  5. Maybe there is no Heaven. Or maybe this is all pure gibberish–a product of the demented imagination of a lazy drunken hillbilly with a heart full of hate who has found a way to live out where the real winds blow–to sleep late, have fun,... - Hunter S. Thompson

More Quotes By Enock Maregesi
  1. Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.

  2. Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha — na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.

  3. Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.

  4. Usiingilie mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu ni dhambi. Dhambi hiyo itakuathiri. Hivyo, jali mambo yako — ya mwingine Mungu anayafanyia kazi — hadi utakapoitwa na Mungu kuingilia kati. Kuingilia kati mambo...

  5. Wewe kuingilia mambo ya John ni sawa na kusema, ‘Mungu umeshindwa hebu ngoja na mimi nijaribu; ngoja niingilie kati kukusaidia juu ya maisha ya John Doe.’ Hiyo ni dhambi. Tena ni dhambi kubwa. Unajifananisha na Mungu; kwamba Mungu wa John Doe ameshindwa kwa hiyo mungu...

Related Topics