Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu — na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho, Yesu Kristo atakaporudi kuwachukua wateule wake. Pambana kwa njia ya maombi hadi siku ya mwisho kwa sababu adui tunayepambana naye hana muda wa kupumzika. Pambana kujiombea na kuwaombea wengine waliohai, na hata wale ambao bado hawajazaliwa, kabla mafuta ya dunia hii hayajalipuka. Usiishi kama adui wa msalaba wa Yesu Kristo, badala yake, ishi kama rafiki wa msalaba wa Yesu Kristo. Kuishi kama rafiki wa msalaba wa Yesu Kristo ni kupinga majivuno yote ya Shetani kwa upendo uliotukuka wa kujishusha au kujidharirisha, kutokutetereka hata kidogo na tamaa za ulimwengu huu kwa upendo mkubwa wa umaskini, na kutokuyumba wakati wa matatizo kwa sababu wakati wa amani ulijilimbikizia imani. Enock Maregesi
About This Quote

"There is a kind of blessing in being a stranger in a strange land, because it is there that God reveals himself to us. In the uncertainty of life, we can always find a home for our soul in Jesus Christ. We can be sure of this: God will never abandon us if we are faithful to him, and he will never abandon us if we are truly grateful."

Some Similar Quotes
  1. I'm selfish, impatient and a little insecure. I make mistakes, I am out of control and at times hard to handle. But if you can't handle me at my worst, then you sure as hell don't deserve me at my best. - Marilyn Monroe

  2. You've gotta dance like there's nobody watching, Love like you'll never be hurt, Sing like there's nobody listening, And live like it's heaven on earth. - William W. Purkey

  3. You know you're in love when you can't fall asleep because reality is finally better than your dreams. - Dr. Seuss

  4. A friend is someone who knows all about you and still loves you. - Elbert Hubbard

  5. Darkness cannot drive out darkness: only light can do that. Hate cannot drive out hate: only love can do that. - Unknown

More Quotes By Enock Maregesi
  1. Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.

  2. Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha — na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.

  3. Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.

  4. Usiingilie mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu. Kuingilia mambo ya mtu mwingine bila kibali kutoka kwa Mungu ni dhambi. Dhambi hiyo itakuathiri. Hivyo, jali mambo yako — ya mwingine Mungu anayafanyia kazi — hadi utakapoitwa na Mungu kuingilia kati. Kuingilia kati mambo...

  5. Wewe kuingilia mambo ya John ni sawa na kusema, ‘Mungu umeshindwa hebu ngoja na mimi nijaribu; ngoja niingilie kati kukusaidia juu ya maisha ya John Doe.’ Hiyo ni dhambi. Tena ni dhambi kubwa. Unajifananisha na Mungu; kwamba Mungu wa John Doe ameshindwa kwa hiyo mungu...

Related Topics